Orodha Ya Vyuo Vya Afya Tanzania (Serikali na Binafsi) 2026/2027: Sifa na Jinsi ya Kuomba
Unatafuta vyuo bora vya afya nchini Tanzania kwa mwaka wa masomo 2026/2027? Tovuti ya matokeoyanectatz.com imekukusanyia orodha kamili ya vyuo vya afya vinavyotambuliwa na Serikali kupitia NACTVET ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Sekta ya afya nchini Tanzania inaendelea kukua, na mahitaji ya wataalamu kama Wauguzi, Maafisa Tabibu, na Mafundi Sanifu Maabara ni makubwa.
Sifa za Kujiunga na Vyuo vya Afya 2026/2027
Kabla ya kuangalia orodha, hakikisha unakidhi vigezo vifuatavyo vya chini (Minimum Requirements):
-
Diploma/Certificate: Walau ufaulu wa Alama D katika masomo ya Biology, Chemistry, na Physics.
-
Sifa ya Ziada: Ufaulu wa somo la English na Mathematics ni kigezo muhimu kwa baadhi ya kozi kama Pharmacy na Medical Laboratory.
Orodha ya Vyuo vya Afya Tanzania 2026/2027
Hii hapa ni orodha ya vyuo (vyote vya Serikali na Binafsi) ambavyo unaweza kuomba nafasi ya masomo:
| Na. | Jina la Chuo / Taasisi |
|---|---|
| 1 | Rubya Health Training Institute |
| 2 | Bishop Nicodemus Hhando College of Health Sciences |
| 3 | Alvin Institute of Health and Allied Sciences |
| 4 | Kolandoto College of Health Sciences |
| 5 | David College of Health Sciences |
| 6 | Joseph Health Training College |
| 7 | Mkolani Foundation Health Sciences Training Institute |
| 8 | Ndolage Institute of Health Sciences |
| 9 | Makambako Institute of Health Sciences |
| 10 | Imani College of Health and Allied Sciences |
| 11 | Blue Pharma College of Health |
| 12 | Ngudu School of Environmental Health Sciences |
| 13 | Aggrey College of Health Science |
| 14 | Msongola Health Training Institute |
| 15 | Ilembula Institute of Health and Allied Sciences |
| 16 | Mgao Health Training Institute |
| 17 | Karagwe Institute of Allied Health Sciences |
| 18 | Nyakahanga College of Health and Allied Sciences |
| 19 | KCMC – Training Centre for Health Records Technology |
| 20 | Augustine Muheza Institute of Health Sciences |
| 21 | Furaha Health Training College |
| 22 | Mount Ukombozi Health Sciences Training Centre |
| 23 | Maximillian Kolbe Health College |
| 24 | New Mkombozi Health Institute |
| 25 | Bishop Kisula College of Health and Allied Sciences |
| 26 | Primary Health Care Institute |
| 27 | Besha Health Training Institute |
| 28 | Zanzibar School of Health |
| 29 | New Mafinga Health and Allied Institute |
| 30 | City College of Health and Allied Sciences |
| 31 | Paradigms College of Health Sciences |
| 32 | Machame Health Training Institute |
| 33 | Uyole Health Sciences Institute |
| 34 | Morogoro Public Health Nursing School |
| 35 | St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) |
| 36 | Rukwa College of Health Sciences |
| 37 | Bakhita Health Training Institute |
| 38 | Joseph University College of Health Sciences |
| 39 | Kahama College of Health Sciences |
| 40 | Santamaria Institute of Health and Allied Sciences |
| 41 | Singida College of Health Sciences and Technology |
| 42 | Njombe Institute of Health and Allied Sciences (NJIHAS) |
| 43 | Apple Valley Institute of Health Sciences and Technology |
| 44 | Decca College of Health and Allied Sciences – Dodoma |
| 45 | Mwasenda College of Health Sciences – Mwanza |
| 46 | Tosamaganga Institute of Health and Allied Sciences |
| 47 | Biharamulo Health Sciences Training College |
| 48 | Top One College of Health and Allied Sciences |
| 49 | Mvumi Institute of Health Sciences |
| 50 | Lugarawa Health Training Institute (LUHETI) |
| 51 | Centre for Educational Development in Health – Arusha |
| 52 | Kigamboni City College of Health and Allied Sciences |
| 53 | Tandabui Institute of Health Sciences and Technology |
| 54 | Eckernforde Tanga University Institute of Health Sciences |
| 55 | Mbalizi Institute of Health Sciences – Mbeya |
| 56 | John College of Health |
| 57 | Excellent College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam |
| 58 | Victoria Institute of Health and Allied Sciences |
| 59 | Bulongwa Health Sciences Institute |
| 60 | Amenye Health Training Institute |
| 61 | Rao Health Training Centre |
| 62 | Muyoge College of Health Sciences and Management |
| 63 | Haydom Institute of Health Sciences |
| 64 | K’s Royal College of Health Sciences |
| 65 | City College of Health and Allied Sciences – Dodoma Campus |
| 66 | Dodoma Institute of Health and Allied Sciences |
| 67 | Shirati College of Health Sciences |
| 68 | Kibaha College of Health and Allied Sciences |
| 69 | Kam College of Health Sciences |
| 70 | Karatu Health Training Institute |
| 71 | Faraja Health Training Institute |
| 72 | Lake Zone Health Training Institute |
| 73 | Padre Pio College of Health and Allied Sciences |
| 74 | Nkinga Institute of Health Sciences |
| 75 | Decca College of Health and Allied Sciences – Nala Campus (Dodoma) |
| 76 | Kagemu School of Environmental Health Sciences |
| 77 | Litembo Health Laboratory Sciences School |
| 78 | Kilema College of Health Sciences |
| 79 | Yohana Wavenza Health Institute |
| 80 | Chato College of Health Sciences and Technology |
| 81 | Huruma Institute of Health and Allied Sciences |
| 82 | Sengerema Health Training Institute |
| 83 | Pemba School of Health |
| 84 | Mlimba Institute of Health and Allied Sciences |
| 85 | Kisare College of Health Sciences |
| 86 | Mbeya College of Health Sciences |
| 87 | Suye Health Institute |
| 88 | Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) |
| 89 | Tanzanian Training Centre for International Health |
Namna ya Kutuma Maombi (How to Apply)
Maombi ya kujiunga na vyuo vya afya Tanzania kwa kawaida hufanywa kupitia njia mbili:
-
Online Application: Tembelea tovuti rasmi ya chuo husika kupitia link ya “Details and Apply” hapo juu.
-
NACTVET Central Admission System (CAS): Kwa vyuo vya Serikali, maombi mara nyingi hupitishwa kwenye mfumo wa pamoja wa NACTVET (www.nacte.go.tz).
Mambo Muhimu Wakati wa Kuomba:
-
Hakiki Usajili: Hakikisha chuo unachochagua kimesajiliwa kikamilifu na NACTVET na kinatambuliwa na Wizara ya Afya.
-
Tarehe za Mwisho: Fuatilia kalenda ya udahili ili usipitwe na muda.
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQs)
1. Je, naweza kujiunga na chuo cha afya nikiwa na alama D za sayansi? Ndiyo, vyuo vingi vya ngazi ya Astashahada (Certificate) vinapokea wanafunzi wenye alama D nne katika masomo ya sayansi.
2. Ni chuo gani bora cha afya Tanzania? Vyuo kama KCMC, Bugando (CUHAS), na vyuo vya serikali kama Njombe (NJIHAS) ni miongoni mwa vyuo vyenye sifa kubwa nchini.
Soma Pia: Sifa Mpya za Kujiunga na Diploma ya Uuguzi na Ukunga 2026
