NAFASI ZA KAZI: WAHUDUMU WA MADUKA MLIMANI CITY NA RESTAURANT POSTA (17)
Tunatafuta wahudumu wa maduka wenye bidii na huduma nzuri kwa wateja kufanya kazi katika maeneo ya Mlimani City na Posta.
Sifa (Vigezo):
-
Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja (lugha nzuri)
-
Awe na ujuzi wa mapokezi mazuri ya wageni na wateja
-
Awe msafi na nadhifu muda wote
Mahitaji:
-
Awe mkazi wa Dar es Salaam
-
Awe msichana/mdada
-
Awe na uelewa wa huduma kwa wateja
Mshahara:
-
Tsh 450,000/= kwa mwezi
Jinsi ya Kutuma Maombi:
-
Tuma maombi kupitia WhatsApp pekee
-
Namba: 0656 116 023
Malalamiko au maoni yoyote comment hapa: Bonyeza hapa kutoa maoni
