Wadada wa Migahawa (Restaurants) Posta na Madukani (Mlimani City & Mikocheni)Wadada wa Migahawa (Restaurants) Posta na Madukani (Mlimani City & Mikocheni)

Nafasi 37 za Kazi : Wadada wa Migahawa (Restaurants) Posta na Madukani (Mlimani City & Mikocheni)

kampuni ya Job Junction Tanzania, inayopatikana Makumbusho Terminal, inawatangazia wadada wote wachangamfu fursa za ajira katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

 Maeneo ya Kazi:

  • Migahawa (Restaurants): Posta (Mpya).

  • Madukani (Sales): Mikocheni Plaza na Mlimani City.

Sifa na Vigezo:

  • Jinsia: Wadada pekee.

  • Idadi: Nafasi 37.

  • Umri: Miaka 18 – 45.

  • Elimu: Ngazi yoyote inakaribishwa.

  • Sifa za Ziada: Uwe mtanashati (Smart), mkarimu, na mwenye uwezo wa kuhudumia wateja kwa weledi.

  • Makazi: Lazima uwe mkazi wa Dar es Salaam.

Maslahi:

  • Mshahara: TZS 350,000 mpaka 450,000 kwa mwezi (Kulingana na kitengo).

Jinsi ya Kuomba:

Wasiliana nasi sasa kwa kutuma ujumbe kupitia WhatsApp pekee: 0610155136 ,Barua pepe: jobjunctiontz@gmail.com, Ofisi zetu: Makumbusho Terminal, Dar es Salaam.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *