Nafasi za Kazi 27: Wadada wa Mauzo (Shop Attendants) Shoppers & Mikocheni Dar es Salaam, NAFASI ZA KAZI: MAUZO (SHOP ATTENDANTS)
Tunatafuta wadada wachangamfu, waaminifu na wenye weledi kujiunga na timu yetu ya mauzo katika maduka yetu yaliyopo Shoppers Plaza na Mikocheni.
Sifa na Masharti:
-
Jinsia: Wadada (Kike).
-
Makazi: Lazima uwe mkazi wa Dar es Salaam.
-
Idadi: Nafasi zipo 27.
-
Haiba: Uwe na lugha nzuri kwa wateja na nidhamu ya kazi.
Maslahi:
-
Mshahara: TSH 450,000 kwa mwezi.
 Jinsi ya Kuomba:
Kama unakidhi vigezo hivi, tafadhali tuma maombi yako au wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp pekee:
Namba: 0610155136
Wahi sasa, nafasi ni chache na zinajazwa haraka!
SOMA PIA;
- Matangazo ya Kazi Mapya Utumishi Leo – Kupitia Ajira Portal
- Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal Leo 2026
- NAFASI ZA KAZI SERIKALINI (AJIRA PORTAL) LEO FEBRUARY 2026
- Jinsi ya Kujisajili na Ajira Portal (Recruitment Portal) 2026/2027
- Kuitwa Kazini Utumishi Leo 2026| Orodha ya Majina ya Waliopangiwa Kazi
- Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi (Call for Interview) – Angalia Hapa
