Standard Four Results 2025/2026 (NECTA SFNA Results) – Check Here
The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) is expected to announce the Standard Four Results 2025/2026 (SFNA Results) at any time.
Wazazi na walezi kote nchini wanashauriwa kukaa tayari kupokea matokeo haya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (Standard Four National Assessment – SFNA) uliofanyika mwezi Oktoba 2025.
Huu ni mtihani muhimu unaopima uwezo wa mwanafunzi kumudu stadi za KKK (Kusoma, Kuandika, na Kuhesabu) kabla hajaendelea na masomo ya darasa la tano.
Katika ukurasa huu wa matokeoyanectatz.com, tunakupa mwongozo kamili (Complete Guide) wa jinsi ya kuangalia matokeo haya mtandaoni.
Live Updates: SFNA Results Status
Tunafuatilia updates zote kutoka Baraza la Mitihani (NECTA).
Latest News: Usahihishaji wa mitihani ya Darasa la Nne umekamilika. Matokeo yanatangazwa rasmi leo tarehe 10 Januari 2026. Keep refreshing this page.
How to Check Standard Four Results 2025 (Jinsi ya Kuangalia)
Ili kuona matokeo ya mwanao, fuata hatua hizi rahisi (Simple Steps):
-
Visit NECTA Website: Tembelea tovuti rasmi ya
www.necta.go.tzau tumia link zetu hapa chini. -
Click on “Results”: Bonyeza kwenye menyu iliyoandikwa “Results” au “Matokeo”.
-
Select SFNA 2025: Tafuta kiungo kilichoandikwa “SFNA RESULTS 2025”.
-
Choose Region & District: Chagua Mkoa shule ilipo, kisha chagua Wilaya.
-
Select School: Orodha ya shule itafunguka. Bonyeza jina la shule ya mwanafunzi.
-
View Results: Tafuta jina la mwanafunzi kwenye orodha ili kuona alama zake.
Quick Links (Viungo vya Haraka)
Kama tovuti ya NECTA ipo slow, tumia links hizi mbadala kuona matokeo haraka:
-
Link 1: Standard Four Results 2025/2026 – SFNA]
-
Link 2: SFNA Results 2025Â
Standard Four Results by Region (Matokeo Kimkoa)
To make it easier for you, we have arranged the results by Region. Click on your Region below to find your school directly:
| Mkoa | Kiungo |
|---|---|
| Standard Four Results Arusha | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Dar es Salaam | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Dodoma | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Geita | Angalia Hapa |
| Standard Four ResultsIringa | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Kagera | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Katavi | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Kigoma | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Kilimanjaro | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Lindi | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Manyara | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Mara | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Mbeya | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Morogoro | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Mtwara | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Mwanza | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Njombe | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Pwani | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Rukwa | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Ruvuma | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Shinyanga | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Simiyu | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Singida | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Songwe | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Tabora | Angalia Hapa |
| Standard Four Results Tanga | Angalia Hapa |
Madaraja na Maana Yake (Grading)
Understanding the Grades (Madaraja)
Matokeo ya SFNA hupangwa kwa madaraja matano (A-E). Hii ndiyo maana yake:
-
A (Excellent): Ufaulu ulio Tukuka (Vizuri Sana).
-
B (Very Good): Ufaulu Mzuri Sana.
-
C (Good): Ufaulu Mzuri (Wastani).
-
D (Satisfactory): Ufaulu wa Kuridhisha (Dhaifu).
-
E (Unsatisfactory): Ufaulu Usioridhisha (Hafifu).
Note to Parents: Kama mwanafunzi amepata Daraja D au E, anahitaji uangalizi wa karibu sana (remedial classes) anapoingia Darasa la Tano ili aweze kujiandaa vyema na Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba (PSLE).
Conclusion
MatokeoYaNectaTZ.com wishes all Standard Four pupils the best of luck.
We are committed to providing you with fast and accurate educational news in Tanzania.
Have trouble finding your school? (Unashindwa kuona shule yako?)
Leave a comment below with the School Name and Region, and we will help you find the link.
