Selection Form FiveSelection Form Five

Selection Form Five 2026/2027 (TAMISEMI Kidato cha Tano), Majina na Shule Walizopangiwa

Je, unatafuta Selection Form Five 2026/2027? Kila mwaka, maelfu ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne Tanzania husubiri kwa hamu kubwa tangazo rasmi la TAMISEMI Kidato cha Tano ili kufahamu shule walizopangiwa kuanza masomo ya elimu ya juu ya sekondari.

Katika makala hii, tumekuwekea mfumo rahisi wa kuangalia Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2026 pamoja na link za kupakua PDF kwa kila mkoa.

Lini TAMISEMI Watatoa Selection Form Five 2026/2027?

Mchakato wa Selection Form Five 2026/2027 (TAMISEMI Kidato cha Tano) hufanyika baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka na wanafunzi kukamilika kwa zoezi la kubadilisha machaguo (Selform). Ingawa tarehe rasmi haijatangazwa, tunatarajia TAMISEMI selection 2026 kutoka hivi karibuni.

Hifadhi (Bookmark) ukurasa huu kwa sababu tutakuwa wa kwanza kuweka link punde tu mheshimiwa Waziri atakapozindua rasmi orodha hiyo.

Jinsi ya Kuangalia Selection Form Five 2026/2027 Mtandaoni

Ili kujua shule uliyopangiwa kwenye TAMISEMI Kidato cha Tano, fuata hatua hizi:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI (www.tamisemi.go.tz).

  2. Tafuta sehemu iliyoandikwa “Selection Form Five 2026”.

  3. Chagua mkoa uliosoma, kisha chagua wilaya yako.

  4. Tafuta jina la shule yako ya kidato cha nne kuona orodha ya waliochaguliwa.

Pakua PDF: Selection Form Five 2026/2027 (TAMISEMI Kidato cha Tano)

Kwa urahisi zaidi, tutaweka link za PDF hapa chini punde tu zikipatikana. Unaweza kupakua orodha nzima ya waliochaguliwa kidato cha tano 2026 kwa kubonyeza mkoa husika hapa:

Mkoa Kiungo
Selection Form Five Arusha Angalia Hapa
Selection Form Five Dar es Salaam Angalia Hapa
Selection Form Five Dodoma Angalia Hapa
Selection Form Five Geita Angalia Hapa
Selection Form Five Iringa Angalia Hapa
Selection Form Five Kagera Angalia Hapa
Selection Form Five Katavi Angalia Hapa
Selection Form Five Kigoma Angalia Hapa
Selection Form Five Kilimanjaro Angalia Hapa
Selection Form Five Lindi Angalia Hapa
Selection Form Five Manyara Angalia Hapa
Selection Form Five Mara Angalia Hapa
Selection Form Five Mbeya Angalia Hapa
Selection Form Five Morogoro Angalia Hapa
Selection Form Five Mtwara Angalia Hapa
Selection Form Five Mwanza Angalia Hapa
Selection Form Five Njombe Angalia Hapa
Selection Form Five Pwani Angalia Hapa
Selection Form Five Rukwa Angalia Hapa
Selection Form Five Ruvuma Angalia Hapa
Selection Form Five Shinyanga Angalia Hapa
Selection Form Five Simiyu Angalia Hapa
Selection Form Five Singida Angalia Hapa
Selection Form Five Songwe Angalia Hapa
Selection Form Five Tabora Angalia Hapa
Selection Form Five Tanga Angalia Hapa

Vigezo vya Kupangiwa Shule 2026/2027

Serikli kupitia TAMISEMI inatumia vigezo vifuatavyo kupanga wanafunzi:

  • Ufaulu (GPA): Alama ulizopata kwenye masomo yako ya Kidato cha Nne.

  • Machaguo ya Tahasusi (Combinations): Uwiano wa alama zako na masomo uliyochagua (mfano: PCB, HGL, CBG).

  • Nafasi za Shule: Uwepo wa nafasi katika shule za Serikali na vyuo vya ualimu au ufundi.

Mambo ya Kufanya Baada ya Selection

Ukiona jina lako kwenye Selection Form Five 2026/2027, hakikisha unafanya yafuatayo:

  1. Pakua Joining Instruction (Barua ya kujiunga) mapema.

  2. Kamilisha mahitaji ya shule kama sare na vifaa vya darasani.

  3. Zingatia tarehe ya kuripoti ili usipoteze nafasi yako.

Je, una changamoto ya kupata namba yako ya mtihani au kutafuta jina lako? Tuandikie kwenye maoni hapa chini na timu yetu itakusaidia kutafuta Selection yako ya Kidato cha Tano 2026.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *