Orodha ya Vyuo vya Afya Tanzania, List of Health Colleges in Tanzania: Orodha ya Vyuo vya Afya Vilivyosajiliwa,
Je, una ndoto ya kuwa tabibu, muuguzi, au mfamasia mahiri nchini Tanzania? Hatua ya kwanza kuelekea mafanikio hayo ni kuchagua chuo kilichosajiliwa na kutambuliwa na mamlaka husika kama NACTVET na Wizara ya Afya. Tanzania ina mamia ya taasisi zinazotoa mafunzo ya Health and Allied Sciences, kuanzia ngazi ya Astashahada (Certificate) hadi Shahada (Degree).
Katika makala haya, tumekukusanyia orodha ya vyuo vya afya Tanzania ambavyo vimekidhi vigezo, vikiwemo vya serikali na vya binafsi, ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya masomo ya afya 2026.
Sifa za Kujiunga na Vyuo vya Afya Tanzania
Kabla ya kuangalia orodha, ni muhimu kufahamu kuwa ili kujiunga na diploma ya afya au certificate, mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa masomo ya sayansi (Biology, Chemistry, na Physics). Kwa sasa, sifa za kujiunga na vyuo vya afya zinahitaji angalau ufaulu wa alama ‘D’ katika masomo hayo muhimu.
Orodha ya Vyuo vya Afya Tanzania (Serikali na Binafsi)
Hii hapa ni jedwali la vyuo vya afya Tanzania vilivyochanganywa kutoka mikoa mbalimbali ili kukupa wigo mpana wa uchaguzi:
| Na. | Jina la Chuo |
|---|---|
| 1 | CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES |
| 2 | RUBYA HEALTH TRAINING INSTITUTE |
| 3 | NJOMBE INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (NJIHAS) |
| 4 | Haydom Institute of Health Sciences |
| 5 | BLUE PHARMA COLLEGE OF HEALTH |
| 6 | Morogoro Public Health Nursing School |
| 7 | KCMC – Training Centre for Health Records Technology |
| 8 | Bishop Kisula College of Health and Allied Sciences |
| 9 | APPLE VALLEY INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES AND TECHNOLOGY |
| 10 | Karatu Health Training Institute |
| 11 | FRANCIS University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) |
| 12 | Shirati College of Health Sciences |
| 13 | Decca College of Health and Allied Sciences – Dodoma |
| 14 | UYOLE HEALTH SCIENCES INSTITUTE |
| 15 | Joseph Health Training College |
| 16 | TANDABUI Institute of Health Sciences and Technology |
| 17 | KILEMA College of Health Sciences |
| 18 | Aggrey College of Health Science |
| 19 | MSONGOLA Health Training Institute |
| 20 | Zanzibar School of Health |
| 21 | Kahama College of Health Sciences |
| 22 | Padre Pio College of Health and Allied Sciences |
| 23 | Rukwa College of Health Sciences |
| 24 | LITEMBO Health Laboratory Sciences School |
| 25 | Bishop Nicodemus Hhando College of Health Sciences |
| 26 | KIGAMBONI City College of Health and Allied Sciences |
| 27 | MVUMI Institute of Health Sciences |
| 28 | Primary Health Care Institute |
| 29 | Makambako Institute of Health Sciences |
| 30 | Bulongwa Health Sciences Institute |
| 31 | Lake Zone Health Training Institute |
| 32 | Tosamaganga Institute of Health and Allied Sciences |
| 33 | MBEYA College of Health Sciences |
| 34 | New Mafinga Health and Allied Institute |
| 35 | Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) |
| 36 | NYAKAHANGA College of Health and Allied Sciences |
| 37 | Machame Health Training Institute |
| 38 | FARAJA Health Training Institute |
| 39 | Bakhita Health Training Institute |
| 40 | Sengerema Health Training Institute |
| 41 | K’s Royal College of Health Sciences |
| 42 | Dodoma Institute of Health and Allied Sciences |
| 43 | CHATO College of Health Sciences and Technology |
| 44 | NDOLAGE Institute of Health Sciences |
| 45 | John College of Health |
| 46 | Kam College of Health Sciences |
| 47 | Mlimba Institute of Health and Allied Science |
| 48 | Excellent College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam |
| 49 | Huruma Institute of Health and Allied Sciences |
| 50 | Tanzanian Training Centre for International Health |
| 51 | Mkolani Foundation Health Sciences Training Institute |
| 52 | IMANI College of Health and Allied Sciences |
| 53 | Muyoge College of Health Sciences and Management |
| 54 | KISARE College of Health Sciences |
| 55 | Kagemu School of Environmental Health Sciences |
| 56 | Augustine Muheza Institute of Health Sciences |
| 57 | Rao Health Training Centre |
| 58 | Mbeya College of Health Sciences |
| 59 | Biharamulo Health Sciences Training College |
| 60 | Pemba School of Health |
| 61 | Ngudu School of Environmental Health Sciences |
| 62 | Lugarawa Health Training Institute (LUHETI) |
| 63 | Maximillian Kolbe Health College |
| 64 | Santamaria Institute of Health and Allied Sciences |
| 65 | Singida College of Health Sciences and Technology |
| 66 | Mount Ukombozi Health Sciences Training Centre |
| 67 | Decca College of Health and Allied Sciences – Nala Campus, Dodoma |
| 68 | Karagwe Institute of Allied Health Sciences |
| 69 | Joseph University College of Health Sciences |
| 70 | Mgao Health Training Institute |
| 71 | Excellent College of Health and Allied Sciences |
| 72 | Mwasenda College of Health Sciences – Mwanza |
| 73 | KIBaha College of Health and Allied Sciences |
| 74 | Yohana Wavenza Health Institute |
| 75 | Paradigms College of Health Sciences |
| 76 | Amenye Health Training Institute |
| 77 | Centre for Educational Development in Health – Arusha |
| 78 | Ilembula Institute of Health and Allied Sciences |
| 79 | Suye Health Institute |
| 80 | New Mkombozi Health Institute |
| 81 | David College of Health Sciences |
| 82 | Top One College of Health and Allied Sciences |
| 83 | Mbalizi Institute of Health Sciences – Mbeya |
| 84 | City College of Health and Allied Sciences – Dodoma Campus |
| 85 | BeshA Health Training Institute |
| 86 | ECKERNFORDE Tanga University Institute of Health Sciences |
| 87 | Kolandoto College of Health Sciences |
| 88 | FURAHA Health Training College |
Kwa Nini Usome Katika Vyuo vya Afya Vilivyosajiliwa?
Kuchagua chuo kutoka kwenye orodha ya NACTVET ni muhimu kwa sababu zifuatazo:
-
Kutambuliwa kwa Cheti: Vyeti kutoka vyuo vilivyosajiliwa vinatambulika na Wizara ya Afya pamoja na waajiri.
-
Mkopo wa Elimu (HESLB): Baadhi ya vyuo vya diploma na shahada vinaruhusu wanafunzi kuomba mikopo ya elimu ya juu.
-
Ubora wa Mafunzo: Vyuo hivi hukaguliwa mara kwa mara ili kuhakikisha vina maabara na walimu wenye sifa.
Namna ya Kutuma Maombi (Application)
Kwa sasa, maombi mengi ya vyuo vya afya vya serikali na binafsi yanafanyika kupitia mifumo ya kielektroniki. Unashauriwa kutembelea tovuti ya NACTVET (Common Admission System) ili kuona tarehe za kuanza kwa maombi ya udahudi wa vyuo vya afya 2026/2027.
Angalizo la Mtaalamu: Hakikisha unajiridhisha na ada ya vyuo vya afya kabla ya kufanya malipo yoyote, na epuka matapeli wanaodai kutoa nafasi za masomo nje ya mifumo rasmi.
