Nafasi za Kazi Moshi Co-operative University (MoCU)Nafasi za Kazi Moshi Co-operative University (MoCU)

Nafasi za Kazi Moshi Co-operative University (MoCU) 2026: Ajira Mpya kwa Watanzania,Nafasi za Kazi MoCU 2026,Ajira Portal MoCU,Moshi Co-operative University Jobs,Ajira Mpya Tanzania 2026.

Tangazo la Nafasi za Kazi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) 2026

Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kimetangaza nafasi za kazi mbalimbali za kitaaluma kwa ajili ya Watanzania wenye sifa. Nafasi hizi zipo katika kampasi kuu ya Moshi na Taasisi ya Ushirika na Elimu ya Biashara ya Kizumbi (KICOB) iliyopo Shinyanga.

Kama wewe ni mhitimu mwenye ufaulu wa hali ya juu na unatafuta fursa ya kuendeleza taaluma yako katika mazingira bora ya elimu, hili ni tangazo lako.

Orodha ya Nafasi za Kazi Zilizotangazwa

MoCU inakaribisha maombi kwa nafasi zifuatazo:

  • Assistant Librarian Trainee (Nafasi 2) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Human Resource Management) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Data Science) (Nafasi 2) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Law) (Nafasi 2) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Communication Skills) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Records Management) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Economics) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Business Management) (Nafasi 2) – Kituo cha kazi: Kizumbi, Shinyanga.

  • Assistant Lecturer (Procurement Supply Management) (Nafasi 2) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Librarian (Nafasi 6) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Librarian (Nafasi 1 – Re-advertised) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Assistant Lecturer (Entrepreneurship/Enterprise Management) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Kizumbi, Shinyanga.

  • Assistant Lecturer (Information Systems) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Kizumbi, Shinyanga.

  • Research Fellow (Community Development) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

  • Research Fellow (Marketing) (Nafasi 1) – Kituo cha kazi: Moshi.

Sifa za Jumla kwa Waombaji

Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:

  1. Lazima uwe Raia wa Tanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.

  2. Kuwa na Shahada ya kwanza na Shahada ya Uzamili (Masters) kwa nafasi za Assistant Lecturer, ukiwa na GPA ya 3.8 (Shahada ya Kwanza) na GPA ya 4.0 (Shahada ya Uzamili).

  3. Kwa nafasi ya Librarian na Research Fellow, muombaji lazima awe na PhD.

  4. Vyeti vya nje ya nchi lazima vithibitishwe na TCU au NECTA.

Jinsi ya Kutuma Maombi (How to Apply)

Maombi yote yanapaswa kutumwa kupitia mfumo wa kielektroniki wa Recruitment Portal wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

ANGALIZO: Maombi yatakayotumwa nje ya mfumo wa Ajira Portal hayatafanyiwa kazi. Hakikisha unaambatanisha CV iliyoandaliwa vizuri na nakala za vyeti vilivyothibitishwa (certified copies).

Pakua PDF ya Tangazo Kamili

Kwa maelezo ya kina kuhusu kila nafasi, majukumu na sifa za kitaaluma, tafadhali pakua tangazo rasmi hapa chini:

DOWNLOAD PDF FILE HERE – TANGAZO LA KAZI MOCU 2026

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *