NAFASI ZA KAZI CUSTOMER CARE & ASSISTANT SUPERVISORSNAFASI ZA KAZI CUSTOMER CARE & ASSISTANT SUPERVISORS

NAFASI ZA KAZI CUSTOMER CARE & ASSISTANT SUPERVISORS

Kampuni inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wachangamfu na waaminifu wenye sifa za uongozi na huduma bora kwa wateja kwa ajili ya vituo vyetu vilivyopo kwenye Shopping Malls.

1. CUSTOMER CARE (Nafasi 17)

Sifa na Vigezo:

  • Uwe na uwezo mkubwa wa kuwasiliana (Good communication skills).

  • Uwe na haiba ya huduma bora kwa wateja (Customer care).

  • Uwezo wa kujibu maswali ya wateja kwa ufasaha na weledi.

  • Nidhamu ya hali ya juu kazini.

  • Mshahara: TZS 450,000/=

2. ASSISTANT SUPERVISOR (Nafasi 13)

Sifa na Vigezo:

  • Uwe na ujuzi wa uongozi (Leadership skills).

  • Uwe mwaminifu na muadilifu (Honest person).

  • Uwe na uzoefu katika usimamizi/uongozi (Management experience).

  • Mshahara: TZS 800,000/=

 JINSI YA KUOMBA:

Tuma maombi yako sasa kwa njia ya WhatsApp pekee kupitia namba:

0610155136

Wahi sasa, nafasi hizi ni kwa ajili ya waliowahi na wenye sifa stahiki pekee.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *