Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) muda wowote kuanzia sasa.
Upimaji huu uliofanyika mwezi Oktoba 2025 ni kipimo muhimu cha kuangalia umilisi wa mwanafunzi katika stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kabla hajaingia darasa la tano.
Kupitia ukurasa huu wa matokeoyanectatz.com, tunakuletea taarifa za uhakika na viungo (links) vya haraka vya kuangalia matokeo ya mwanao punde yanapotoka.
Hali ya Matokeo (Live Status)
Taarifa: Zoezi la kusahihisha limekamilika.NECTA itatangaza matokeo ya Darasa la Nne leo tarehe 10 Januari 2026. Tafadhali hifadhi ukurasa huu na uendelee kututembelea kwa taarifa rasmi.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne 2025
Utaratibu wa kuangalia matokeo ya Darasa la Nne ni rahisi sana na unafanana na ule wa Darasa la Saba. Fuata hatua hizi:
-
Tembelea Tovuti ya NECTA: Fungua
www.necta.go.tzau tumia link zetu hapa chini. -
Bonyeza “Results”: Nenda kwenye menyu ya matokeo.
-
Chagua SFNA 2025: Chagua Standard Four National Assessment (SFNA) na mwaka 2025.
-
Chagua Mkoa na Wilaya: Matokeo ya shule za msingi yamepangwa kuanzia Mkoa, Wilaya, kisha Shule.
-
Tafuta Shule Yako: Fungua jina la shule ya mwanafunzi.
-
Angalia Matokeo: Utaona orodha ya majina ya wanafunzi na madaraja waliyopata (A, B, C, D, au E).
Link za Haraka (Direct Links)
Kuepuka usumbufu wa mtandao, tumia njia hizi za mkato kuona matokeo haraka:
-
Link 1: Angalia Hapa – NECTA]
-
Link 2: Matokeo ya SFNA 2025 (Server 2)]
Angalia Matokeo kwa Mkoa (Regional Links)
Wazazi wengi hupata shida kutafuta shule kwenye orodha ndefu ya NECTA. Tumekuorozeshea mikoa hapa ili ukibonyeza Mkoa wako, uende moja kwa moja kwenye wilaya na shule zake.
| Mkoa | Kiungo |
|---|---|
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Arusha | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Dar es Salaam | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Dodoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Geita | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Iringa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Kagera | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Katavi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Kigoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Kilimanjaro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Lindi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Manyara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Mara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Mbeya | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Morogoro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Mtwara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Mwanza | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Njombe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Pwani | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Rukwa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Ruvuma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Shinyanga | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Simiyu | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Singida | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Songwe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Tabora | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Darasa la Nne mkoa wa Tanga | Angalia Hapa |
Madaraja na Maana Yake (Grading)
Matokeo ya Darasa la Nne hupimwa kwa madaraja yafuatayo ili kutoa picha ya uelewa wa mwanafunzi:
-
A (Excellent): Vizuri Sana.
-
B (Very Good): Vizuri.
-
C (Good): Wastani.
-
D (Satisfactory): Dhaifu (Laki anaruhusiwa kuendelea).
-
E (Unsatisfactory): Hafifu Sana (Hufaulu).
Kumbuka: Lengo la mtihani huu ni “Upimaji”. Hata kama mwanafunzi amepata daraja la chini, lengo ni kumtambua mapema ili asaidiwe kitaaluma anapoingia Darasa la Tano na la Sita kabla ya mtihani wa mwisho wa Darasa la Saba.
Sisi kama MatokeoYaNectaTZ.com, tunawatakia kila la kheri wanafunzi wote wadogo wa Darasa la Nne.
Wazazi, matokeo haya ni kioo cha kumjua mwanao anahitaji msaada gani. Mshauri na kumtia moyo bila kujali amepata daraja gani.
Share taarifa hii kwenye magroup ya shule ili wazazi wengine wakae tayari!
