Matokeo Kidato Cha Nne 2025/2026 (NECTA CSEE Results), Matokeo ya Kidato Cha Nne Necta 2025/2026, Matokeo ya necta Kidato Cha Nne
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kufanya tangazo la matokeo ya upimaji wa Kidato cha Nne (CSEE) uliofanyika Novemba 2025.
Huu ni ukurasa maalum wa matokeoyanectatz.com uliotengwa kwa ajili ya kukupatia Matokeo Kidato Cha Nne 2025/2026 kwa urahisi, haraka, na bila usumbufu wa mtandao. Hapa utapata orodha ya matokeo kwa kila mkoa, shule bora, na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa.
Taarifa Mpya (Live Updates)
Tunakuletea taarifa za hivi punde moja kwa moja kutoka NECTA:
Tarehe Inayotarajiwa: Matokeo haya yanatarajiwa kutoka wiki ya kwanza au ya pili ya mwezi Januari 2026.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo (Direct Links)
Kuepuka msongamano kwenye tovuti ya NECTA, tumia viungo vifuatavyo ambavyo ni salama na vya haraka:
-
Tovuti Rasmi ya NECTA (www.necta.go.tz)
- Matokeo Kidato Cha Nne 2025/2026
-
Matokeo ya QT 2025/2026
Angalia Matokeo kwa Mkoa (Regional Breakdown)
Watu wengi hupenda kutafuta matokeo kulingana na mikoa shule zao zilipo. Tumekuorozeshea mikoa yote hapa chini. Bofya jina la mkoa kuona orodha ya shule na matokeo yake:
| Mkoa | Kiungo |
|---|---|
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Arusha | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Dar es Salaam | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Dodoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Geita | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Iringa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kagera | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Katavi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kigoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kilimanjaro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Lindi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Manyara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mbeya | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Morogoro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mtwara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mwanza | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Njombe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Pwani | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Rukwa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Ruvuma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Shinyanga | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Simiyu | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Singida | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Songwe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Tabora | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Tanga | Angalia Hapa |
Maswali na Majibu (FAQs)
Q: Matokeo yakitoka nifanye nini nikiona alama “F”?
A: Alama F inamaanisha “Failure” (Kufeli). Hata hivyo, usikate tamaa. Unaweza kurudia mtihani kama mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candidate) au kujiunga na vyuo vya ufundi (VETA) kuanza safari mpya ya ujuzi.
Q: Je, naweza kuangalia matokeo kwa SMS?
A: Ndiyo, kama NECTA watatoa huduma hiyo mwaka huu. Utaratibu wa kawaida huwa ni kutuma ujumbe: MATOKEO [Namba ya Mtihani] [Aina ya Mtihani] [Mwaka] kwenda 15311. Tutathibitisha hapa huduma hii ikianza.
Q: Sifa za kujiunga Kidato cha Tano ni zipi?
A: Ili kuchaguliwa Kidato cha Tano shule za serikali, unahitaji kuwa na ufaulu wa “Credit” (A, B, au C) katika masomo matatu ya mchepuo (Combination) na ufaulu wa jumla usiopungua Division III.
MatokeoYaNectaTZ.com itaendelea kukupa taarifa za uhakika. Tafadhali hifadhi (Bookmark) ukurasa huu.
Kama una tatizo la kuona matokeo ya shule yako, tuandikie jina la shule na mkoa kwenye Comments hapa chini nasi tutakusaidia kukuwekea link ya moja kwa moja.
