Matokeo Kidato Cha Nne 2025/2026 (CSEE Form Four Results), matokeo ya form four necta results
Muda umewadia! Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza/limetangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 (Certificate of Secondary Education Examination – CSEE).
Haya ni matokeo yanayosubiriwa kwa hamu kubwa na wazazi, walezi, na wahitimu wote waliofanya mtihani huo mwezi Novemba 2025. Matokeo haya ndiyo yatakayoamua nani ajiunge na Kidato cha Tano, Vyuo vya Kati, au njia nyingine za kimaisha.
Kupitia ukurasa huu wa matokeoyanectatz.com, tunakupa mwongozo kamili,link za haraka, na uchambuzi wa matokeo haya punde yanapotoka.
Hali ya Matokeo (Live Status)
Tunafuatilia kwa karibu tovuti ya NECTA (www.necta.go.tz) kila sekunde ili kukupa taarifa sahihi.
Ufafanuzi: Baraza la Mitihani linaendelea na hatua za mwisho za uchakataji. Matokeo haya yanatarajiwa kutoka wiki ya kwanza au ya pili ya mwezi Januari 2026. Endelea kuwa nasi hapa kwa update ya haraka.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne 2025
Ili kuona matokeo yako kwa urahisi kupitia simu yako au kompyuta, fuata hatua hizi rahisi:
-
Tembelea Tovuti ya NECTA: Fungua link rasmi ya matokeo (Tutaweka hapa).
-
Chagua Mwaka: Hakikisha mwaka umechagua ni 2025.
-
Chagua Aina ya Mtihani: Chagua CSEE (Certificate of Secondary Education Examination).
-
Tafuta Shule: Orodha ya shule itajipanga kwa herufi (A-Z). Tafuta jina la shule uliyofanyia mtihani.
-
Tazama Matokeo: Bofya jina la shule, kisha tafuta namba yako ya mtihani kando yake utaona daraja lako.
Link za Haraka (Server Links)
Tovuti ya NECTA inaweza kuwa nzito (slow) siku ya matokeo. Tumia linki hizi mbadala kuona matokeo haraka:
-
Link 1: Matokeo ya CSEE 2025/2026
-
Link 2: Matokeo ya QT 2025/2026
Angalia Matokeo kwa Mkoa (Regional List)
Wanafunzi wengi hupendelea kutafuta matokeo kulingana na mkoa shule ilipo. Bonyeza jina la mkoa hapa chini kwenda moja kwa moja kwenye shule za mkoa huo:
| Mkoa | Kiungo |
|---|---|
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Arusha | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Dar es Salaam | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Dodoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Geita | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Iringa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Kagera | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Katavi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Kigoma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Kilimanjaro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Lindi | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Manyara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Mara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Mbeya | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Form Two Morogoro | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Mtwara | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Mwanza | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Njombe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Pwani | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Rukwa | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Ruvuma | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Shinyanga | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Simiyu | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Singida | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Songwe | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Tabora | Angalia Hapa |
| Matokeo ya Kidato Cha Nne Tanga | Angalia Hapa |
Madaraja na Ufaulu (Division & Points)
Uelewa wa madaraja ni muhimu ili kujua hatma yako ya Kidato cha Tano. NECTA hutumia mfumo wa Division I hadi Division IV (na 0).
-
Division I (Daraja la Kwanza): Pointi 7 – 17
-
Division II (Daraja la Pili): Pointi 18 – 21
-
Division III (Daraja la Tatu): Pointi 22 – 25
-
Division IV (Daraja la Nne): Pointi 26 – 33
-
Division 0 (Sifuri): Pointi 34 – 35 (Kufeli)
Kumbuka: Ili kuchaguliwa kwenda Kidato cha Tano shule za Serikali, mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa kuanzia Division I hadi III, na awe na alama za “Credit” (C au zaidi) katika masomo matatu ya Combination.
Nini Kinafuata Baada ya Matokeo?
Baada ya kuona matokeo, hatua inayofuata inategemea ufaulu wako:
-
Waliofaulu (Div I – III): Kuanza maandalizi ya Kidato cha Tano na kusubiri Form Five Selection.
-
Waliopata Div IV: Kuangalia fursa za kujiunga na Vyuo vya Kati (Certificate Levels) kupitia NACTVET.
-
Waliopata Div 0: Kufikiria kurudia mtihani (Private Candidate) au kujiunga na vyuo vya ufundi stadi (VETA).
MatokeoYaNectaTZ.com inawatakia matokeo mema wahitimu wote. Tunatambua jitihada zenu za miaka minne.
Kama unashindwa kuona matokeo yako, au link haifunguki, tuandikie kwenye Comments hapa chini jina la shule yako nasi tutakusaidia kukuwekea.