Shule Walizopangiwa Darasa la SabaShule Walizopangiwa Darasa la Saba

Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025/2026 (Form One Selection)

Je, unasubiri kwa hamu kujua mwanao au mdogo wako amepangiwa shule gani ya sekondari kwa mwaka wa masomo 2026? Hii ndiyo taarifa rasmi unayohitaji.

Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) ndiyo yenye dhamana ya kutangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza (Form One Selection 2026) kwa shule za Serikali nchi nzima.

Katika makala hii, tumekuandalia mwongozo kamili wa jinsi ya kuangalia shule aliyopangiwa mwanafunzi wa darasa la saba aliyefanya mtihani wake mwaka 2025, pamoja na link za moja kwa moja kwa kila mkoa.

Kama unavyofahamu, matokeo ya Darasa la Saba 2025 yalitangazwa na NECTA, na hatua inayofuata ni TAMISEMI kupanga wanafunzi kulingana na ufaulu wao na nafasi zilizopo katika shule za sekondari.

Jinsi ya Kuangalia Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025/2026

Ili kuona jina la shule aliyopangiwa mwanafunzi, tafadhali fuata hatua hizi rahisi kupitia tovuti rasmi ya TAMISEMI:

  1. Tembelea Tovuti ya TAMISEMI: Bofya [HAPA]  kwenda kwenye mfumo wa uchaguzi.

  2. Tafuta Tangazo la Uchaguzi: Angalia sehemu iliyoandikwa “Selection Results 2026” au “Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2026”.

  3. Chagua Mkoa: Orodha ya mikoa itafunguka. Bofya mkoa ambao mwanafunzi alifanyia mtihani (Sio mkoa anaoishi, bali kule shule yake ilipo).

  4. Chagua Wilaya/Halmashauri: Baada ya mkoa, chagua wilaya husika.

  5. Chagua Shule Aliyotoka: Tafuta jina la shule ya msingi aliyosoma mwanafunzi.

  6. Angalia Matokeo: Orodha ya wanafunzi wote wa shule hiyo itafunguka. Tafuta jina la mwanafunzi na mbele yake utaona jina la Shule ya Sekondari Aliyopangiwa.

Orodha ya Mikoa (Bonyeza Mkoa Wako)

Kwa urahisi zaidi, tumekuorozeshea link za mikoa yote hapa chini. Bonyeza jina la mkoa husika kuona orodha ya shule:

Mkoa Kiungo
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Arusha Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Dar es Salaam Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Dodoma Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Geita Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Iringa Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Kagera Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Katavi Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Kigoma Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Kilimanjaro Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Lindi Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Manyara Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Mara Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Mbeya Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Morogoro Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Mtwara Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Mwanza Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Njombe Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Pwani Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Rukwa Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Ruvuma Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Shinyanga Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Simiyu Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Singida Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Songwe Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Tabora Angalia Hapa
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba mkoa wa Tanga Angalia Hapa

Hali ya Uchaguzi (Status): Zimetoka au Bado?

Hali ya sasa ya matokeo ya uchaguzi wa kidato cha kwanza zimetoka.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

1. Nifanye nini kama mwanafunzi hajapangiwa shule?

Kama jina la mwanafunzi halipo au hajaandikiwa shule, inawezekana ufaulu wake haukukidhi vigezo au amekosa nafasi katika awamu ya kwanza. Subiri matangazo ya Uchaguzi wa Awamu ya Pili (Second Selection) ambayo hutolewa kujaza nafasi zilizo wazi.

2. Je, naweza kubadilisha shule aliyopangiwa (Transfer)?

Ndiyo, uhamisho unawezekana lakini una utaratibu wake maalum kupitia mfumo wa TAMISEMI au Ofisi ya Elimu ya Mkoa. Ni muhimu kuripoti kwanza shule uliyopangiwa ndipo uanze mchakato wa kuhama.

3. Fomu za kujiunga (Joining Instructions) zinapatikana wapi?

Fomu za kujiunga (Joining Instructions) zinapatikana kwenye tovuti ya TAMISEMI au shuleni alikopangiwa mwanafunzi. Pia, wakuu wa shule za msingi mara nyingi hupewa fomu hizo kwa ajili ya kuwapatia wahitimu wao.

Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2026. Elimu ya Sekondari ni hatua muhimu sana katika maisha.

Hakikisha unatembelea matokeoyanectatz.com kila siku kwa taarifa mpya za elimu, nafasi za kazi, na fursa mbalimbali.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *