Nafasi za Kazi: Wahudumu wa Maduka Mlimani City na Restaurant PostaNafasi za Kazi: Wahudumu wa Maduka Mlimani City na Restaurant Posta

Nafasi za Kazi: Wahudumu wa Maduka Mlimani City na Restaurant Posta (Nafasi 27)

Kampuni inatangaza nafasi 27 za kazi za wahudumu (waiters/attendants) katika maduka ya Mlimani City na restaurant iliyopo eneo la Posta, Dar es Salaam.

Sifa zinazohitajika:

  • Uwe na lugha nzuri na stadi bora za mawasiliano kwa wateja
  • Ujue mapokezi mazuri ya wageni na wateja
  • Uwe msafi na nadhifu wakati wote

Vigezo vya kuomba:

  • Uwe mkazi wa Dar es Salaam
  • Uwe msichana/mdada
  • Ujue mapokezi ya wateja

Mshahara: 450,000/= Tsh kwa mwezi

Jinsi ya kuomba:
Wasiliana kupitia WhatsApp pekee: 0703854777

⚠️ ONYO MUHIMU: Hakuna malipo yoyote yanayohitajika ili kupata kazi hii. Mwombaji HATAKIWI kulipa pesa kwa ajili ya usaili, mafunzo, “registration,” au sababu nyingine yoyote. Endapo mtu yeyote atakutaka pesa ili upate kazi hii, hiyo ni dalili ya utapeli — usitoe pesa na ripoti jambo hilo.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *